Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Oct 29, 2019 #21 Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Ibofwee JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 1,305 Reaction score 2,452 Oct 29, 2019 #22 Mi ningempiga mzinga anipe buku 20 nikapige serengeti lite kupunguza mawazo
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Oct 29, 2019 #23 MNANSO said: Utajiassess vipi bila kujilinganisha na wenzio? mimi naona ni sawa tuu tena inakupa challenge na kupambana zaidi Click to expand... Mtoa mada nazungumzia ill feelings unazoipata bali unapogundua mwenzako amefanikiwa,na wewe unachozungumzia ni wivu wa maendeleo,kwani kama unaumia tu na huna wivu wa maendeleo utabaki hapo ulipo na hiki ndicho anachozungumzia yeye kuwa hana wivu...
MNANSO said: Utajiassess vipi bila kujilinganisha na wenzio? mimi naona ni sawa tuu tena inakupa challenge na kupambana zaidi Click to expand... Mtoa mada nazungumzia ill feelings unazoipata bali unapogundua mwenzako amefanikiwa,na wewe unachozungumzia ni wivu wa maendeleo,kwani kama unaumia tu na huna wivu wa maendeleo utabaki hapo ulipo na hiki ndicho anachozungumzia yeye kuwa hana wivu...
Noel Ngiama Makanda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2018 Posts 1,782 Reaction score 3,103 Oct 30, 2019 #24 Tofauti zipo tu. Ndio maana hata vidole havilingani. Jambo la msingi ni kuwa na game-plan na kuifanyia kazi
Tofauti zipo tu. Ndio maana hata vidole havilingani. Jambo la msingi ni kuwa na game-plan na kuifanyia kazi