Hivi unajisikiaje unapoambiwa kitu ambacho haukukitarajia kuambiwa?

Hivi unajisikiaje unapoambiwa kitu ambacho haukukitarajia kuambiwa?

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Kwa mfano

Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako ili uweze kupona na afya yako kurejea kama ilivyokua mwanzoni.

Unaambiwa acha pombe walau siku 365, usivute sigara walau siku 360, kama una sugua chaki acha kusugua kabisa usije ukaishia kudata, unaambiwa kwa huu ugonjwa usifanye mapenzi kwa muda fulani labda miezi 7, kama unakula mdudu anakwambia pumzika kumla hata miezi 6 halafu unajikuta wewe bila mdudu maisha hayaendi

Brother BIG kama unasoma hii mada naona utakua umenielewa hapo kwenye mdudu.

Hivi unajisikiaje unapoambiwa kitu ambacho haukukitarajia kuambiwa?
 
Mwili huwa unakupa warning hata kabla hujaambiwa na daktari ila kama hujipendi hautausikiliza
Upo sahihi kabisa mkuu kuna ishara mwili hua unazitoa mapema kabla haujafeli mazima ni km gari inayokaribia kukata mafuta dashboard inaionyesha sogelea sheli iliyopo karibu nawe ukajaze hii gari mafuta ukizidi kukomaa na safari gari itakuzimikia njiani na haitotembea tena km huna mafuta ya akiba
 
Back
Top Bottom