Bongemzito
Senior Member
- Nov 5, 2010
- 162
- 19
Ningependa kupata hisia za watu tofauti wanapoanzisha uhusiano mpya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee PJ najua hapa unatupa mawaidha ila wewe ulishasahau kuanzisha mahusiano mapya toka umpate mamayeyoo. ThanxHuwa moyo unadunda sana kama ishara ya aidha kukubaliwa au kukataliwa!
ningependa kupata hisia za watu tofauti wanapoanzisha uhusiano mpya..
Huwa moyo unadunda sana kama ishara ya aidha kukubaliwa au kukataliwa!
Ningependa kupata hisia za watu tofauti wanapoanzisha uhusiano mpya..
hasa ile siku ya kwanza mnapokuwa kwa room.loh........!unakuwa na matarajio makubwa sana pindi unapomwona mwenzio live bila zengwe na ukijaribu kulinganisha na mpenzi wako wa nyuma
Hasa pale unapotoka nae kwa mara ya kwanza yaan kama unampenda kwa sana unajiisi kama vile upo peke yako duniani..