Hivi unajua ni kiasi gani bosi wa ofisi anayofanyia mkeo anavyomla mkeo?

Dogo hakuna Cha ajabu hapo,
Mke aliwe na boda boda wa kitaa,aliwe na baba mkwe wako,aliwe na ndugu yako,
Aliwe na jirani yako,kuliwa ni kuliwa tu,
Akikoswa koswa kuliwa na boss,ataliwa na boda boda!!sasa tofauti ni ipi?!!
Anayeliwa ni mkeo,kiungo kinachopigwa pipe sio chako,sasa Wewe shida yako nini?
 

Na Hawa ndio wake zenu.

POLENI sanaaa...

#YNWA
 
Yaani mtu anatombew* na yupo HAPPY?

KIBOKOO

#YNWA
 
Jamaa anajifunza kutoka kwa waliofeli na anakupa mifano ya ndoa zilizoshindikana.
From 100%
80% fail
20% Passed

Hapo hakuna cha kujifunza.

I accept Null and Reject Alternative.

#YNWA
 
If so then you understand little about life. Marriage is more than sex, marriage is a measure of a man's perfection. If you can withstand all that you will be called a man.

Don't forget also marriage is for intelligent men only ..
Wenye pesa nyingi duniani wana "High Financial Knowledge"
Na HAWAJAOA.

#YNWA
 
Dogo bado yuko kwenye umri wa kubalehe...

Mi nimeshamwelewa sana
 
Vzuri

Ikiwezekana pia punguza kuwa obsessed na ndoa. Hakuna jipya la ajabu sana katika mwanandoa kuzini. Binadamu tunapenda ngono na tunaifanya nje au ndani ya ndoa hakuna jipya.
It's a MILLENIAL world.
Women are hungry for Money
Men are hungry for pussy.

Many hunters, Never be a prey..!!!

#YNWA
 
Wewe towashi tu. Baki na utowashi wako, usitake kushinikiza kwa wengine.
Kuna matowashi wa aina 3 kwa mujibu wa Biblia kama ilivyoandikwa kwenye Mathayo 19:12 "Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee".
Nina uhakika kuwa utowashi wako siyo kwa ajili ya ufalme wa mbinguni.
 

Sawa nabii na Mtume wa kanisa gani sijui ...!!!

#YNWA
 
Duuuh kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…