Hivi unajuaga vipi kama umeanza kulewa ukiwa unakunywa pombe??

Hivi unajuaga vipi kama umeanza kulewa ukiwa unakunywa pombe??

Wakuu bila kupoteza tym hivi wakati uko bar unapiga ulabu/vyombo kuna stage unafika unaona hapa naanza kulewa, kuna wengine wakianza muona bar maid mzuri balaa basi anajua tayari vyombo viko moto.
vipi kuhusu wengine tupeane experiece kidogo wakuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale unapoanza kudhani kuwa hujalewa..
Na kuanza kusema "unaffffikhiri nimelewa??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom