britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Mwanajamvi . Hivi unamjua huyo Eric Oslon Ambaye wa Rusi wa Tandale wanasema ni Mjeshi wa NATO alokamatwa Ukraine? Ni uongo
Huyo jamaa ni ;
- four star General, halafu was the tallest in the Navy SEAL (wakati huyo hapo mbele ya hao Russians andunjes anaoneka mufti
- Olson anajulikana zaidi kama “the most important man you’ve never heard of”
- katika muongo uliopita ndiye amekua brain ya military operations nyingi.
Britanicca

- Tafuta kampuni iitwayo ETO Group, huyo ndiye President wake.
- Nenda pale Columbia University’s School of International and Public Affairs utamkuta pale kama Part time professor
- Pia, ni director of Iridium Communications
- Director wa Special Operations kwenye Warrior Foundation.
Britanicca