Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Katika mazingira ya kawaida... Wapo watu wa aina na umri tofauti, wazazi, au wakwe, au watoto, au wageni, au jirani. Nyumbani, au ofisini, au ugenini au pengine popote.

Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

Je unamwita jina lake, au baba/mama fulani? Au dadii.. au mamii.. au wewee...
N aunapenda mwenzio akuiteje?

Hapa naongelea unapomwita direct, sio unapomwaddress au kumuulizia kwa mtu.
 
Namwita my dear au mke wangu

Ah! hili mbona kila siku tunaita,
kama mna watoto basi mtoto mmojawapo huwa anateuliwa hivyo utaita "mama ...." si vizuri lakini bora mwite "dear" au jina lake nayo safi
 
mi sijaoa....
lakini nafikiri ukimuita jina lake in romantic sana!
 
Back
Top Bottom