Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kosovo, Vuvuzela, S.id Mw.m., Pilato etc
ooooh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kosovo, Vuvuzela, S.id Mw.m., Pilato etc
Kosovo, Vuvuzela, S.id Mw.m., Pilato etc
umenifurahisha sana kuna mshkaji alikuwa amemsevu wifu wake kwenye simu 'Guantanamo'
ha ha ha ha,mkewe atakuwa mkali/mnoko sana eeehhh? mi nafikiri ndoa ingekuwa matatani.......:twitch::twitch::twitch:
Mimi namuita SugarCake nikichoka hilo namuita Pumpkin nikichoka hilo namuita Kipipimoyo
huyo wife ni noumer! maswali kama judge,anamonitor ile wacha, kama ni kukaba hadi penalt! but hata mimi nilihisi wife hawezi kuwa hivyo bila sababu, kuna vitu ambavo anaviona from husband vinampelekea yeye kuwa mkali,by the way angekuwa huyo muwe ni wangu ameniserve hivyo pangechimbika... lol
Katika mazingira ya kawaida... Wapo watu wa aina na umri tofauti, wazazi, au wakwe, au watoto, au wageni, au jirani. Nyumbani, au ofisini, au ugenini au pengine popote.
Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?
Je unamwita jina lake, au baba/mama fulani? Au dadii.. au mamii.. au wewee...
N aunapenda mwenzio akuiteje?
Hapa naongelea unapomwita direct, sio unapomwaddress au kumuulizia kwa mtu.
Joto kali
Sio wewe kweli ulikuwa unaitwa jina hiloKuna mtu niliwahi msikia anamuita mkewe Hitler
Sio wewe kweli ulikuwa unaitwa jina hilo