Japo hajanioa huwa namuita Daddy lol :coffee:
hivi kama nikimwita mkewangu honey, kuna kosa? honey anatakiwa kutamka mwanaume kwa mwanamke au mwanamke kwa mwanaume? tafadhali nisijekuwa nimekuwa nikitumia vibaya!
mbona uko uchi? unanifanya nachanganya kazi
Daddy nani tena vile?????Japo hajanioa huwa namuita Daddy lol :coffee:
wewe huna akili, utamwitaje mwanaume mwenzio honey?....nyie ndo hatuwataki hapa Tanzania, katafuteni nchi yenu, au hamieni zanzibar.hata mwanaume kwa mwanaume ni sawa tu
Japo hajanioa huwa namuita Daddy lol :coffee:
Joto kali
Mimi namuita SugarCake nikichoka hilo namuita Pumpkin nikichoka hilo namuita Kipipimoyosijaolewa bado,namuita Lollypop
Mimi namuita SugarCake nikichoka hilo namuita Pumpkin nikichoka hilo namuita Kipipimoyo