Hivi unamwitaje mumeo/mkeo?

umenifurahisha sana kuna mshkaji alikuwa amemsevu wifu wake kwenye simu 'Guantanamo'

ha ha ha ha,mkewe atakuwa mkali/mnoko sana eeehhh? mi nafikiri ndoa ingekuwa matatani.......:twitch::twitch::twitch:
 
ha ha ha ha,mkewe atakuwa mkali/mnoko sana eeehhh? mi nafikiri ndoa ingekuwa matatani.......:twitch::twitch::twitch:

huyo wife ni noumer! maswali kama judge,anamonitor ile wacha, kama ni kukaba hadi penalt! but hata mimi nilihisi wife hawezi kuwa hivyo bila sababu, kuna vitu ambavo anaviona from husband vinampelekea yeye kuwa mkali,by the way angekuwa huyo muwe ni wangu ameniserve hivyo pangechimbika... lol
 
Sijaoa. Lakini that's a good question. Itanibidi niwe creative kidogo....mmnnnhhhh, nadhani nitamwita Bonita!!
 

Mimi pangechimbika na mmoja wetu ingebidi tu afukiwe.....l.o.l
ila huyo kazidi,utambanaje mwanaume hivyo?ila huwezi jua pengine kicheche....hawa sio kabisa!!!
 
huwa namwita jina lakle alilokua akilichukia saaanae la utotoni hasa li
 
sijaolewa bado,namuita Lollypop

Ha!! Michelle we ndiye umeweka avatar ya hivi?!!! Yaani umenipoteza vibaya, mda mrefu kweli nilikuwa nakutafuta sikuoni... lione kwanza... lol.
 


dadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
 
Mimi namwita baba na yeye ananiita mama!!
 
wangu ananiita "D", sasa tatizo ni kuwa mtoto wetu naye sometimes ananiita "D" kwa kumuiga mamake! Anyways, mimi namuita Zaika au Zajes!
 
ingawa sijawahi kuoa ila ukimwita kwa jina lake itapendeza kwani kumwita mama nanii kama unamzeesha vileee...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…