Hivi unapata ujasiri gani wa kuweka Tattoo mwilini jina la mpenzi wako?

Hivi unapata ujasiri gani wa kuweka Tattoo mwilini jina la mpenzi wako?

robbinhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
526
Reaction score
1,524
Ilikua 2017 nipo mahala na rafiki zangu tunapiga story..ujumbe wa mpnz wng ukaingia ilikua ni picha ...kajipiga kwenye paja lake na Ilionekana Jina langu limeandikwa pale yaan ROBBIN.
bas nikajua ni editing tu ..hata sikureplay,

Siku nakutana nae..tumeanza kusumbuana on bed bt kila nikitaka kutoa trouser ake anagoma..baadae alipo kubal daah [emoji22] skuamin kuona jina lang pale kwa paja lake..(na najijua siwez hata kumuoa)

Hiv ndg zang mnawezaje kufanya ivo?. bas bora hata kwa mtu uliefunga nae ndoa.

Daah [emoji22] sasa sielew kama ile tattoo kma bado ipo..na je bwana ake huyo aliempata alivoona hilo jina kwa paja la mpnz wake alifeel vp?

Why tunafanya ivo au ndio utandawazi!?
 
Mkuu usinge mfanyia ivo (kumuacha) alikua anaupendo wa dhati kwako

Ila kujichora haikua sawa! Esp kwa tamaduni zetu

Ila apo kuna somo ndo maana tuna gongeana sna
Demu anaolewa na mshikaji ambaye amuelewi kbsa.[emoji23]
Kabisa🤣🤣
 
Niliwahi ikuta pajani pia jina la ex wake yule mwanamke ila ilikuwa imefutwa kwa kufuata maandishi, nikamuuliza hii vipi akanijibu hiyo ilikuwa zamani ila hata wewe ukinikolea ukitaka nitakuandika tu, nikasema Sawa.
 
Chanzo had kuachana nae ..Nilikuta sms za wanaume kwa sim ake...afu akawa anajitetea kuwa ni LOVE CHARTS tu, Dah kuanzia hapo kiukwel upendo wangu kwakwe ukawa unapungua kwa kasi had kufikia neutral
 
Niliwahi ikuta pajani pia jina la ex wake yule mwanamke ila ilikuwa imefutwa kwa kufuata maandishi, nikamuuliza hii vipi akanijibu hiyo ilikuwa zamani ila hata wewe ukinikolea ukitaka nitakuandika tu, nikasema Sawa.
daah
 
Back
Top Bottom