Hivi unapata ujasiri gani wa kuweka Tattoo mwilini jina la mpenzi wako?

Hivi unapata ujasiri gani wa kuweka Tattoo mwilini jina la mpenzi wako?

Mi na uzee huu Bado sijawaza kumchora mtu tattoo ila chini ya 20 kaweza!!!! Maajabu hayaishi chini ya jua

Nilinusurika kidogo sana kuchora tattoo mwili wangu kipindi hicho nafanya mazoezi, kifua kifua, mkono mkono, 1999 hiyo. Bahati mbaya, siku nimeenda kuchora, wino umeisha. dah. hadi leo sijachora, ila nilikuwa napenda balaa. Sikio nikatoboa la kushoto, nikaweka na njiti. siku nimetoa njiti kuja kuja kulicheki limeziba. ndio ujana lakini. Kwahiyo siwashangai vijana.
 
Nilinusurika kidogo sana kuchora tattoo mwili wangu kipindi hicho nafanya mazoezi, kifua kifua, mkono mkono, 1999 hiyo. Bahati mbaya, siku nimeenda kuchora, wino umeisha. dah. hadi leo sijachora, ila nilikuwa napenda balaa. Sikio nikatoboa la kushoto, nikaweka na njiti. siku nimetoa njitndio ujana lakini. Kwahiyo siwashangai vijana.i kuja kuja kulicheki limeziba.
Kisingizio ni ujana, ina maana wengine huwa hawaupitii ujana wanajikuta tu wamezeeka,,🤷
 
Kisingizio ni ujana, ina maana wengine huwa hawaupitii ujana wanajikuta tu wamezeeka,,🤷
Aisee inategemea umekulia mazingira gani. Tuliokulia mazingira ya mtaa ndio shule ya pili, anything is possible. Kwa mtoto wa kike inaweza kuwa ni ngumu, ila kwa kijana wa kiume, sishangai hata kidogo.
 
Ujana unatumika kama kivuli tu cha makosa yenu, kwamba nyie mlioishi mtaa damu zenu zinachemka sana kuliko za vijana wengine!!!
 
Back
Top Bottom