Hizo zitakuwa feki zenyewe huyo mtoto atakuwa ameziona wapi kwa uchumi wa Msukuma ulivyo?
Hapana ni chinese yuan mkuuhalafu mkuu hizo ni euro sio madafu
Ah ah ah ah ahlaiti kama ningeweza kurudisha wakati nyuma,, ningejiepusha nisimtongoze mama ake
Sasa ukishampa kipigo mwanaoNyooo mnajisemesha tu hapo mbona vinavunja flatscreen mnakausha tu. Labda mleta mada angeanZa kwa kusema mtoto wa umri gani. Kwangu mie
Miaka1-2 ntaenda kulilia chumban maana inauma kweli na kuchapwa haiwezekan maana ukichukua kiboko yeye anachukua Chelsea.
2-6 mboko za kufa MTU.
6 na kuendelea hapa nageuka wale jamaa zetu wa pale mgulan. Kachote maji kwa kizibo ujaze pipa
Muwahishe chuo cha sanaa bagamoyo, utavuna hela kama korosho za mtwara.