Hivi unarudi kazini unamkuta mtoto kafanya hivi utafanyaje?!

Hivi unarudi kazini unamkuta mtoto kafanya hivi utafanyaje?!

kosa ni lako, hiyo ya kwanza ina onyo...weka mbali na watoto
 
Natoka nje kwanza nitafakari na kupata hewa vizuri,maana nikikaa ndani naweza kuzirai
 
ntazmia kwanza nkiznduka cjui itakuaje....pesa kabxa auncle magu mwenyewe anaitafta
 
huyo wa juu itabidi nile mishikaki na kachumbari yenye kapilipili afu tutaelewana
 
Naipeleka Mirembe Maana Hii Itakuwa Chizi Asili Yetu Mtoto Inajua Hela Tangu Siku Yakwanza Kuzaliwa.
 
Nyooo mnajisemesha tu hapo mbona vinavunja flatscreen mnakausha tu. Labda mleta mada angeanZa kwa kusema mtoto wa umri gani. Kwangu mie
Miaka1-2 ntaenda kulilia chumban maana inauma kweli na kuchapwa haiwezekan maana ukichukua kiboko yeye anachukua Chelsea.

2-6 mboko za kufa MTU.
6 na kuendelea hapa nageuka wale jamaa zetu wa pale mgulan. Kachote maji kwa kizibo ujaze pipa
Sasa ukishampa kipigo mwanao
Hizo pesa ndo zitajiunga??jamani tufikirie kabla ya kutenda,HASARA ROHO PESA MAKARATASI
 
Back
Top Bottom