Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?

Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?

Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field.

Kama una uwezo au ujuzi katika Mambo haya uwanja ni wako. Cha msingi ni kujiboresha na kutafuta connection kubwa ya watu (waliofanikiwa) wanaoweza kukushauri na wewe ukapiga hatua mbele. (Branding and mantorshp)

Ila pia uwe tayari kusoma vitabu sana (Hapa kuna tatizo kwa wengi)
 
Counselor!

Sio

Councillors

Labda kama ipo na hiyo siijui.
 
Ni kweli aisee online unapiga hela uko home.
 
Back
Top Bottom