Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

Hivi unatambua ndoto mbaya sometimes zinakupa taarifa za ugonjwa wako katika mwili?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
achana na mambo ya sihri/uchawi mwanadamu ni kiumbe kikubwa sana ila kwa bahati mbaya hatujitambui sisi ni nani.

ndani ya miili yetu there's something called Subconscious mind it work as server katika mfumo wako wa ubongo unakawaida wa kuleta kukusanya na kuleta taarifa hasa ukiwa usingizini,sometimes unasumbuliwa na tumbo unaweza kuota umechomwa kisu tumboni na mtu unaemjua.

unaweza kuota umeng'atwa na nyoka au unakimbizwa na nyoka basi usifikirie direct kwa waganga jitahidi ukafanye chake up,waganga watawafitinisha kwa ujinga wenu.

Mazingira yetu ya afrika yalikuwa ni magumu hivyo hata fahamu zetu zinahifadhi mambo magumu ya kutisha mfano,nyoka,simba,moto,vibuyu yote haya ni mambo ambayo huweza ukayaota na ukazani umerogwa na hasa magonjwa ya tumbo hua na kawaida ya ndoto za nyoka na simba.

wasalaam
 
Back
Top Bottom