Hivi unathibishaje kitu ambacho huwezi kukitengeneza kama kinafaa?

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,493
Reaction score
3,382
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
 
Kama nimeelewa:-

Malaria inaenezwa na mbu lkn hakuna kiumbe hai kimetengenezwa na binadamu tangu uwepo wake ila dawa ya kutibu ugonjwa husika ipo.
 
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Mimi mteja kama sijalizika na product yako nitakuambia kwamba sina imani na ubora wa bidhaa yako, sasa ni jukumu lako wewe mtengenezaji kuthibitisha ubora wake kwa mimi mteja wako ambaye sijalizika nayo na sio kulazimisha mimi mteja wako nitumie tu kisa wewe mtengenezaji umesema ni bora.
 
Nazungumzia chanjo coz dawa za malaria mpaka wamasai wanatengeneza so tunaweza kuthibisha kwani tunatumia na kupona lakini Chanjo kuthibisha?
 
Mimi mteja kama sijalizika na product yako nitakuambia kwamba sina imani na ubora wa bidhaa yako, sasa ni jukumu lako wewe mtengenezaji kuthibitisha ubora wake kwa mimi mteja wako ambaye sijalizika nayo na sio kulazimisha mimi mteja wako nitumie tu kisa wewe mtengenezaji umesema ni bora.
Hivi kama hujui kitu cha ukweli utajuaje kama ni cha uongo?yaani hapa hatuwezi kusema cha uongo kwasababu hatujui cha ukweli na tungekua tunajua cha ukweli basi tutengeze Chanjo yetu
 
Wewe huoni tunathibitisha ubora wa magari wakati hatujawahi kutengeneza hata baiskeli.......jitie uzwazwa kidogo uweze kuamini mkuu, kule uganda wazee wa dili walitia maji kwenye vichupa wakaweka lebo ya chanjo ya korona.
 
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa

Tutakupa kesi ya ugaidi
 
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Upo sahihi mkuu yaani science ya vaccination hatuna kwa bisa
Na wala hatujawahi kuwekeza huko
 
Umeandika kipuuzi sana kwahiyo hata kuthibitisha simu hii ni original au feki ni lazima ujue kutengeneza ?
 
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Mh! mbona rahisi tu? kama ni simu si napiga mtu anapokea tunaongea. 'nadanlodi' mavideo ya pilau, nacheki diamond yutube, nacheki mpini wa ambaruty, nachati whatsapp... si tayari nimejiridhisha simu inafaa japo sijui kuitengeneza, ama?
 
Umeandika kipuuzi sana kwahiyo hata kuthibitisha simu hii ni original au feki ni lazima ujue kutengeneza ?
Mjomba kuna vitu vingine vigumu sana kuelewa kuna baadhi ya taasisi zinafunika kombe tu ili mwanaharamu apite,issue ya chanjo is very complicated usifananishe na vitu vya electronics na magari utachekwa.Tatizo la akili yako ni kufananisha vitu ambavyo haviendani
 
Usanii ndo maana walitangaza siku ya uzinduzi wakati msemaji wa serikali alisema inahakikiwa na wataalamu.
Hata hivyo madhara ya muda mrefu watayathibitishaje chanjo yenyewe ndani ya mwaka imepatikana?
 
Tanzania inaweza kuthibitisha kuwa rocket fulani ya Marekani itafika sayari ya Mars?
 
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Hapo nyumbani kwako una Tv unatumia kwannunajua kuitengeneza mpya kamaniyo ilinuthibitishe ubora wa tv yako ?
 
Hoja yako ni irrelevant, jaribu kufikiria tena then jibu hoja ya mleta mada.

Unathibitishaje ubora was kitu wakati huna technical-know-how ya kitu husika?

Kwa madawa, labda tuwaulize wataalamu wa madawa, je, viwanda vinatoa composition ya madawa husika au wataalamu wetu wanatumia skills gani kutambua ubora was dawa husika?
 
Back
Top Bottom