maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,493
- 3,382
Mimi mteja kama sijalizika na product yako nitakuambia kwamba sina imani na ubora wa bidhaa yako, sasa ni jukumu lako wewe mtengenezaji kuthibitisha ubora wake kwa mimi mteja wako ambaye sijalizika nayo na sio kulazimisha mimi mteja wako nitumie tu kisa wewe mtengenezaji umesema ni bora.Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Hivi kama hujui kitu cha ukweli utajuaje kama ni cha uongo?yaani hapa hatuwezi kusema cha uongo kwasababu hatujui cha ukweli na tungekua tunajua cha ukweli basi tutengeze Chanjo yetuMimi mteja kama sijalizika na product yako nitakuambia kwamba sina imani na ubora wa bidhaa yako, sasa ni jukumu lako wewe mtengenezaji kuthibitisha ubora wake kwa mimi mteja wako ambaye sijalizika nayo na sio kulazimisha mimi mteja wako nitumie tu kisa wewe mtengenezaji umesema ni bora.
Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Upo sahihi mkuu yaani science ya vaccination hatuna kwa bisaAsalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Mh! mbona rahisi tu? kama ni simu si napiga mtu anapokea tunaongea. 'nadanlodi' mavideo ya pilau, nacheki diamond yutube, nacheki mpini wa ambaruty, nachati whatsapp... si tayari nimejiridhisha simu inafaa japo sijui kuitengeneza, ama?Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Mjomba kuna vitu vingine vigumu sana kuelewa kuna baadhi ya taasisi zinafunika kombe tu ili mwanaharamu apite,issue ya chanjo is very complicated usifananishe na vitu vya electronics na magari utachekwa.Tatizo la akili yako ni kufananisha vitu ambavyo haviendaniUmeandika kipuuzi sana kwahiyo hata kuthibitisha simu hii ni original au feki ni lazima ujue kutengeneza ?
Basi hao Wazungu watuuzie formula ya hiyo Chanjo ili na sisi tufyatuwe wenyewe hapahapa Nchini!!Upo sahihi mkuu yaani science ya vaccination hatuna kwa bisa
Na wala hatujawahi kuwekeza huko
Hapo nyumbani kwako una Tv unatumia kwannunajua kuitengeneza mpya kamaniyo ilinuthibitishe ubora wa tv yako ?Asalaam aleykum!
Daah! Hii dunia ngumu sana bora tu uwe chizi.Kila nikitafakari akili inagoma kuamini.
Jamani embu nisaidieni kunielewesha maana akili ya darasa la saba inakataa na akili ya form C ndio kabisa inakubali kukataa
Hoja yako ni irrelevant, jaribu kufikiria tena then jibu hoja ya mleta mada.Hapo nyumbani kwako una Tv unatumia kwannunajua kuitengeneza mpya kamaniyo ilinuthibitishe ubora wa tv yako ?