Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

Hivi unaweza kuitwa kwenye interview Sekretarieti ya Ajira bila 'ku-certify' vyeti?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari wakuu,

Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira.

Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
 
Utumishi wako serious sana Mkuu kama ukiambiwa hiki fanya jitahidi ufanye la sivyo kila sentensi yako itakuwa shurtia yaani "ninge" zitakuwa nyingi
 
We kila siku maswali yako ni haya haya na unajibiwa.ebu njoo na issues mpya
Sisi watu cjui tukoje, kuna mwingine unamuelekeza kitu halafu ndani ya page hiyo hiyo kuna mwingine nae anakuja na swali hilo hilo sasa unajiuliza huyu hakuona mwingine ameuliza swal kama lake
 
Ni mojawapo ya vigezo muhimu, huwezi kuitwa bila kucertify ila mbona haigharimu sana kucertify, bora ukacertify tu ila kuwa salama.
 
Wewe watu wanaitwa tu kikubwa waone vyeti vyako.. acha ujongaujinga kutujazia server zetu za JF.. nenda Cafe huko ukaombe kazi
 

Follow hutojuta
Ahsante sana ndugu mzalendo
 
Back
Top Bottom