Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
kwaniniJiandae kulia na kusaga meno
Lazima ucertifykwanini
Sisi watu cjui tukoje, kuna mwingine unamuelekeza kitu halafu ndani ya page hiyo hiyo kuna mwingine nae anakuja na swali hilo hilo sasa unajiuliza huyu hakuona mwingine ameuliza swal kama lakeWe kila siku maswali yako ni haya haya na unajibiwa.ebu njoo na issues mpya
Okay vizuri,Utumishi wako serious sana Mkuu kama ukiambiwa hiki fanya jitahidi ufanye la sivyo kila sentensi yako itakuwa shurtia yaani "ninge" zitakuwa nyingi
Ahsante sana ndugu mzalendoHR Tanzania
Kikundi hiki cha HR ni jukwaa la kushiriki Kazi za Sasa, Habari za Ajira kwa watu wa Tanzania. Kanuni:- 1) Hakuna Barua taka & matusi na Ujumbe wa matusi kwa kila mmoja.🚫 2) Hakuna Messages za watu wazima🔞❌ 3) Hakuna tangazo la Cryptot.me
Follow hutojuta