Hivi unaweza kumpata Mpenzi bila kutumia Fedha?

Hivi unaweza kumpata Mpenzi bila kutumia Fedha?

Inaonekana dhana ya uwekezaji unaielewa kwa kina... 😀

kwi kwi kwi Abdul mi naielewa sana lakini ni mjanja sana kama unampa apointment shori anakuja na wapambe 2 dah hapo maumivu mi iwa nampa live pale pale sina uwezo wa kuwagharamia hao ulio kuja nao kama wanaweza wanywe soda au maji waondoke.
 
kwa kweli mimi kwa upande wangu nakataa hakuna kitu kama hicho coz nw days wasichana wamekuwa na tamaa sana hivyo kama umemwendea wewe na mikono yako tu lazima upewe sound za hapa na pale mara nimesafiri ooh baba yupo nyumbani leo na n.k!i
ila ukienda na gari mkaenda kuongelea sehemu ya ukweli ambako kunauzwa vitu bei ya ghari then ukimrudisha unamuachia mshiko kdg hapo mtaelewana atakujibu kabla hujamuuliza na n.k!tnx!
 
kuna vijigharama vingine kwenye mapenzi huwezi kuvikimbia muheshimiwa ni vya kawaida labda mwanamke ndio hawe anakugharamia wewe.
 
Mkuu huwezi yaani nakataa kata kata waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi.
Anaye bisha jaribu kumtokea mrembo omba namba zake za cmu kisha uwe una mbipu akupigie umtongoze uone kama itawezekana....

Mkuu hapo nakubaliana na wewe
 
hahahaha hii nimeitumia sana si unajua ugonjwa wa mashori ni salio mimi akibip nakwea hewani sijalishi kapib kwa voda au zain namalizia kuwa ngoja nikuongezee salio namtumia buku 5 aaaah mzee mbona sms za kumwaga tu kila wakati mala umekula ooh umeoga yaani kero tupu week end namtoa hapo sijatamka chochote wewe uncle Masa utakuwa unaangalia kivuli tu.

Mkuu sasa inategemea kama huyo binti unataka kuwa na future naye au unataka kuosha rungu kisha utokomee? Lakini kama unafuture naye sidhani kama itapendeza kumzoeshe mshiko mapema, wht if mshiko ukakata mkiwa kati kati ya life lenu? Akupige chini au akuvumilie? Any way me pia nawalaumu dada zetu kuwa most of them, they're after money sijui kwa nini! Na mlaaniwe nyie wote "after money"! Kutokana na hilo kwa dada zetu tha's why wanaume tumejenga dhana "potofu" na kudhani kwamba money ndo kina wafanya wadada wawe na mapezi ya dhati kwetu kitu ambacho si cha kweli.
Na malizia kwa kusema kuwa MAPENZI YA KWELI AYAWEZI KUNUNULIWA KWA PESA! uKIONA HIVYO KUNAWALAKINI HAPO OPEN YOUR EYES!
 
kumpata mpenzi bila matumizi ya pesa haiwezekani! wengi wametoa vielelezo navikubali.Ila pia niongeze kwamba gharama zinatoka kwa wote pale kunapokuwa na mapenzi ya dhati.
Mara nyingi kama binti hakuzimikii 'atamchuna' na kukuingiza gharama zisizo za lazima, kwa mfano binti anaweza kukuomba 'umwongezee'kwenye fee ya shule baada ya kutunga uongo kibao,au weekend anasema anataka kwenda Moro na anataka uingie mfukoni. Ila kwa anayekupenda kwa dhati na anaye-view future ya pamoja na wewe hawezi kukuchomoa kihivyo.
 
Mkuu sasa inategemea kama huyo binti unataka kuwa na future naye au unataka kuosha rungu kisha utokomee? Lakini kama unafuture naye sidhani kama itapendeza kumzoeshe mshiko mapema, wht if mshiko ukakata mkiwa kati kati ya life lenu? Akupige chini au akuvumilie? Any way me pia nawalaumu dada zetu kuwa most of them, they're after money sijui kwa nini! Na mlaaniwe nyie wote "after money"! Kutokana na hilo kwa dada zetu tha's why wanaume tumejenga dhana "potofu" na kudhani kwamba money ndo kina wafanya wadada wawe na mapezi ya dhati kwetu kitu ambacho si cha kweli.
Na malizia kwa kusema kuwa MAPENZI YA KWELI AYAWEZI KUNUNULIWA KWA PESA! uKIONA HIVYO KUNAWALAKINI HAPO OPEN YOUR EYES!
Ndiyo mfumo dume mzee! Hata kwenye mapenzi. Mwanaume hujatoa fedha hujaridhika kama u mwanaume hata kama huyo dada hana habari na fedha. Wakati mwingine wanaume ndo tunawafundisha wadada kupenda fedha. Tunawazoesha makusudi. Lazima ujioneshe kwamba unazo, asije mtoto akakudharau na pengine akakuacha, au ukanyang'anywa. Without the use of money we are insecure!
 
kwi kwi kwi Abdul mi naielewa sana lakini ni mjanja sana kama unampa apointment shori anakuja na wapambe 2 dah hapo maumivu mi iwa nampa live pale pale sina uwezo wa kuwagharamia hao ulio kuja nao kama wanaweza wanywe soda au maji waondoke.

ya kweli au unafuraisha tu mjadala...
 
Bila fedha hukosi mapenzi tu hata pa kuishi, chakula, marafiki hupati. Huu ndio ukweli, kaza buti kiongozi maisha sio lele mama!
Kazi ipo.Kama ni kweli basi ni vigumu kuepuka EPA,Deep Green Finance,Richmond/Dowans na zingine hapo Bongo.
 
Bila fedha hukosi mapenzi tu hata pa kuishi, chakula, marafiki hupati. Huu ndio ukweli, kaza buti kiongozi maisha sio lele mama!
Kazi ipo tutaendelea kutafuta EPA na Virichmond kwa ajili hiyo.
 
Kwenye mapenzi gharama ni za lazima kama KUFA hata kama zitakuwa ni SUNK COST, yaani kutumia gharama bila kupata ulichukuwa unatarajia kupata yaani penzi lenyewe.
 
Hiyo si kweli kwa upande wangu. My wife sikumpata kwa kumwaga fedha. Nilifanya nae mazungumzo tu na hatimae nikajenga uaminifu...vitu vikafuata baadae (if you know what I mean)...na sasa ni 14 years later....Mambo bado safi....

inawezekana alikuhonga wewe huwezi kujua.yaani hata sms hukumtumia kweli?kama ulimtumia ni dhahiri kwamba hukumpata bure.
 
Ndugu zanguni mwanamke ni bidhaa adimu hujawahi sikia hivyo!!kama wewe huwezi tumia hela kumhandle umekwisha watakutafunia mpaka ukome na ubahiri wako.

sio kwel tutake radhi!!#@$%&*
 
hahahaha hii nimeitumia sana si unajua ugonjwa wa mashori ni salio mimi akibip nakwea hewani sijalishi kapib kwa voda au zain namalizia kuwa ngoja nikuongezee salio namtumia buku 5 aaaah mzee mbona sms za kumwaga tu kila wakati mala umekula ooh umeoga yaani kero tupu week end namtoa hapo sijatamka chochote wewe uncle Masa utakuwa unaangalia kivuli tu.

yaani nashangaa kweli mana hata hapa ofcn utackia ngoja nim bip boy/mr wangu anical nimuombe credoo, yaani me naona ni vitu vicvyo na umuhimu kabisa, mdada anafanya kazi yake nzuri tu na ana uwezo wa kuweka hata 50 tshs lakini utakuta anaomba kuongezewa credoo na boy/mr wake, mie nitaongezewa nikiwa mahali ambapo nimekwama kabisa kabisa vinginevyo mambo yangu ya cmu ni yangu mwenyewe labda mr ajickie kuninunuia, ndio mana watu kawa hawa Fidel anawashika mapembe....lol
 
kwi kwi kwi Abdul mi naielewa sana lakini ni mjanja sana kama unampa apointment shori anakuja na wapambe 2 dah hapo maumivu mi iwa nampa live pale pale sina uwezo wa kuwagharamia hao ulio kuja nao kama wanaweza wanywe soda au maji waondoke.

swity huja2lia kabisa.....mpaka nimepaliwa na kinywaji!...lol
 
Fidel unataka ku date na mie, umeniomba no yangu nimekupa then unibip? au hata huko tutakakoenda kwa ajili ya hayo mazungumzo hatutapata moja moto moja baridi?....angalau uwe na cha kuanzia....lol
 
Back
Top Bottom