Inaonekana dhana ya uwekezaji unaielewa kwa kina... 😀
Mkuu huwezi yaani nakataa kata kata waswahili wanasema mkono mtupu haulambwi.
Anaye bisha jaribu kumtokea mrembo omba namba zake za cmu kisha uwe una mbipu akupigie umtongoze uone kama itawezekana....
Mkuu hapo nakubaliana na wewe
hahahaha hii nimeitumia sana si unajua ugonjwa wa mashori ni salio mimi akibip nakwea hewani sijalishi kapib kwa voda au zain namalizia kuwa ngoja nikuongezee salio namtumia buku 5 aaaah mzee mbona sms za kumwaga tu kila wakati mala umekula ooh umeoga yaani kero tupu week end namtoa hapo sijatamka chochote wewe uncle Masa utakuwa unaangalia kivuli tu.
Ndiyo mfumo dume mzee! Hata kwenye mapenzi. Mwanaume hujatoa fedha hujaridhika kama u mwanaume hata kama huyo dada hana habari na fedha. Wakati mwingine wanaume ndo tunawafundisha wadada kupenda fedha. Tunawazoesha makusudi. Lazima ujioneshe kwamba unazo, asije mtoto akakudharau na pengine akakuacha, au ukanyang'anywa. Without the use of money we are insecure!Mkuu sasa inategemea kama huyo binti unataka kuwa na future naye au unataka kuosha rungu kisha utokomee? Lakini kama unafuture naye sidhani kama itapendeza kumzoeshe mshiko mapema, wht if mshiko ukakata mkiwa kati kati ya life lenu? Akupige chini au akuvumilie? Any way me pia nawalaumu dada zetu kuwa most of them, they're after money sijui kwa nini! Na mlaaniwe nyie wote "after money"! Kutokana na hilo kwa dada zetu tha's why wanaume tumejenga dhana "potofu" na kudhani kwamba money ndo kina wafanya wadada wawe na mapezi ya dhati kwetu kitu ambacho si cha kweli.
Na malizia kwa kusema kuwa MAPENZI YA KWELI AYAWEZI KUNUNULIWA KWA PESA! uKIONA HIVYO KUNAWALAKINI HAPO OPEN YOUR EYES!
kwi kwi kwi Abdul mi naielewa sana lakini ni mjanja sana kama unampa apointment shori anakuja na wapambe 2 dah hapo maumivu mi iwa nampa live pale pale sina uwezo wa kuwagharamia hao ulio kuja nao kama wanaweza wanywe soda au maji waondoke.
Kazi ipo.Kama ni kweli basi ni vigumu kuepuka EPA,Deep Green Finance,Richmond/Dowans na zingine hapo Bongo.Bila fedha hukosi mapenzi tu hata pa kuishi, chakula, marafiki hupati. Huu ndio ukweli, kaza buti kiongozi maisha sio lele mama!
ya kweli au unafuraisha tu mjadala...
Kazi ipo tutaendelea kutafuta EPA na Virichmond kwa ajili hiyo.Bila fedha hukosi mapenzi tu hata pa kuishi, chakula, marafiki hupati. Huu ndio ukweli, kaza buti kiongozi maisha sio lele mama!
Hiyo si kweli kwa upande wangu. My wife sikumpata kwa kumwaga fedha. Nilifanya nae mazungumzo tu na hatimae nikajenga uaminifu...vitu vikafuata baadae (if you know what I mean)...na sasa ni 14 years later....Mambo bado safi....
Ndugu zanguni mwanamke ni bidhaa adimu hujawahi sikia hivyo!!kama wewe huwezi tumia hela kumhandle umekwisha watakutafunia mpaka ukome na ubahiri wako.
hahahaha hii nimeitumia sana si unajua ugonjwa wa mashori ni salio mimi akibip nakwea hewani sijalishi kapib kwa voda au zain namalizia kuwa ngoja nikuongezee salio namtumia buku 5 aaaah mzee mbona sms za kumwaga tu kila wakati mala umekula ooh umeoga yaani kero tupu week end namtoa hapo sijatamka chochote wewe uncle Masa utakuwa unaangalia kivuli tu.
ndio mana watu kawa hawa Fidel anawashika mapembe....lol
kwi kwi kwi Abdul mi naielewa sana lakini ni mjanja sana kama unampa apointment shori anakuja na wapambe 2 dah hapo maumivu mi iwa nampa live pale pale sina uwezo wa kuwagharamia hao ulio kuja nao kama wanaweza wanywe soda au maji waondoke.
swity huja2lia kabisa.....mpaka nimepaliwa na kinywaji!...lol