kuingilia mapenzi ya watu aisee ni ngumu,na ctaweza kabisa! hata hivyo analalama tu lakini karidhika mana ni wachumba kwa 3yrs na cku zote anamuhudumia kwa hilo Kaizer....
hahaha nimewaona sana wazee wa design hii wengine yaani hao mabinti ni wajukuu zao kabisa utaona mzee pension yake anamalizia kwa vibinti kuna mzee kule kwetu kauza nyumba 10mil zimeshia kwa vibinti kibaya zaidi anashika pembe duh
wengine wanakamua na kunywa maziwa......hahahaha dogo apo umenikumbusha mbali kweli,,, uyo binti inaonyesha amegraduate kwenye mambo ya uchunaji!