uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 836
- 2,658
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama alivaa vasco da gama kwa nn nisinunue?
Hahahaaa mshana jr unazinguaBei poa sana halafu bonge la mdundo[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama alivaa vasco da gama kwa nn nisinunue?
Bei ya hicho kiatu kwa kijini kwetu unaweza pata hadi mbuzi 40. huo ni mtaji mkubwa sana. Lakini unakuta kunamtu ndio amenunulia hilo likiatu.
Mimi hata elfu10 sinunuiNa hapo kuna Hati punguzo bei halisi ni TZS 2.17 M
mimi hata nikipewa bure sichukuiMimi hata elfu10 sinunui
Acheni utani lo hiko kiatu chahovyo hivo kiuzwe bei hiyo?????
🎯 🎯 🎯Sasa kama alivaa vasco da gama kwa nn nisinunue?