Hivi unaweza kununua kiatu hichi kwa sh. milioni 1.4?

Hivi unaweza kununua kiatu hichi kwa sh. milioni 1.4?

Mkuu naweza nikainunua sababu hiyo chuma ina Warrant ya miaka 50.

Tatizo ni kwamba uzito wake na Size nitawatesa wajukuu zangu tu maana hiyo itarithiwa kizazi na kizazi 😆😆😆
 
Hiki kiatu nakumbuka kilikuwa kwenye movie moja pale New Chox Cinema, hiyo movie inaanza staring alikuwa akijisaidia mara adui akatokea akataka kumpiga teke, staring akaruka na adui akapiga kinyesi, basi kile kinyesi kikajiandika Bango si Bango usimvae staring maji ya shingo sinema ndiyo inaanza, mara hapo hapo ikawa mapumziko(Interval), Hiyo movie ilikuwa ikiitwa Bootlegger, tatizo ilikuwa na halftime kama 80.
 
Back
Top Bottom