Hivi unaweza kusoma sheria ukiwa na elimu ya Form Four?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,110
Reaction score
1,462
Kichwa cha habari chahusika,

Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D.

Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
 
Kichwa cha habari chahusika,Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five,sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D. Je anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
Certificate sio ndio qualifications zao hizo au?
 
Ukimaliza form four unachukua diploma miaka 3 harafu unaenda kusoma degree
 
  • Thanks
Reactions: M45

Kwa hayo matokeo yake ya form four anaweza kuenda nayo akakubaliwa?
 
Kichwa cha habari chahusika,Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five,sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D. Je anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
"D" nne ndiyo kigezo cha kuingia chuo cho chote nchini!
 
Mojawapo ya qualification ya kusoma sheria ukitokea form four ni angalau uwe na 'C' ya Kiingereza.

Kiujumla uwe na pass nne ikiwemo C ya Kiingereza.
 
  • Thanks
Reactions: M45
"D" nne ndiyo kigezo cha kuingia chuo cho chote nchini!
Sidhani mkuu baadhi ya vyuo huwa naona angalau uwe na pass nne kwa maana ya "D" nne lakini wanahitaji uwe na "C" ya Kiingereza hasa kwa kozi za sheria.

Kwenye afya ndiyo huwa naona wanahitaji "D" nne bila uhitaji wa "C" ya Kiingereza.
 
Screenshot_20241211-170126_Chrome.jpg
 
  • Thanks
Reactions: M45
Unasoma,ila nadhani C ya kiingereza ni compulsory
 
Back
Top Bottom