Hivi unaweza kusoma sheria ukiwa na elimu ya Form Four?

M45

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
1,110
Reaction score
1,462
Kichwa cha habari chahusika,

Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D.

Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
 
Certificate sio ndio qualifications zao hizo au?
 
Ukimaliza form four unachukua diploma miaka 3 harafu unaenda kusoma degree
 
Reactions: M45
Ukimaliza form four unachukua diploma miaka 3 harafu unaenda kusoma degree
Kwa hayo matokeo yake ya form four anaweza kuenda nayo akakubaliwa?
 
"D" nne ndiyo kigezo cha kuingia chuo cho chote nchini!
 
Reactions: M45
Mojawapo ya qualification ya kusoma sheria ukitokea form four ni angalau uwe na 'C' ya Kiingereza.

Kiujumla uwe na pass nne ikiwemo C ya Kiingereza.
 
Reactions: M45
"D" nne ndiyo kigezo cha kuingia chuo cho chote nchini!
Sidhani mkuu baadhi ya vyuo huwa naona angalau uwe na pass nne kwa maana ya "D" nne lakini wanahitaji uwe na "C" ya Kiingereza hasa kwa kozi za sheria.

Kwenye afya ndiyo huwa naona wanahitaji "D" nne bila uhitaji wa "C" ya Kiingereza.
 
Unasoma,ila nadhani C ya kiingereza ni compulsory
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…