Ivo yaan....wa$€n§€ hawa🚮Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
Jukumu la kuwa na maisha mazuri ni wewe mwenyewe mzazi (baba). Huwezi kuwalaumu watoto wakujengee nyumba na kukupa maisha mazuri wakati wewe kipindi cha ujana wako ulishindwa kutengeneza maisha mazuri. Kuwa na watoto siyo kigezo cha mwanaume kuwa masikini (tengeneza kipato)Utalalia mkeka na kuuza samaki hata ukiwa na miaka 200, kama kazi yako itakua kuzalisha wanawake na kuwatelekeza halafu kutwa kupiga domo mtandaoni kuwatukana single maza.
Usipende kulaumu kumbuka kuna wanaume pia wamedhulimiwa haki ya kuishi na mtoto au watoto pamoja na mwanamke.Ivo yaan....wa$€n§€ hawa🚮
Ndo maana mungu anakubariki kila Leo hongeraMimi nilizaliwa katika familia masikini sana na tulikuwa tunaishi katika nyumba ya matope. Baadhi ya kaka zangu walikuwa na uwezo lakini hawakumsaidia Mzee. Mimi ni mtoto wa 8 katika watoto 9. Kwa hivyo Mzee alikuwa keshazeeka.
Nilipopata kazi tu nilimjengea baba yangu nyumba mpya ile ya zamani nikaivunja. Kisha nikamununulia fanicha mpya na nguo mpya na nikamuwekea mtu wa kumsaidia usafi na kupika na nilikuwa namlipa, mke wake alishafariki kwa hivyo alikuwa hana wa kumuhudumia.
. RIP Mzee wangu
No mercy 😏Usipende kulaumu kumbuka kuna wanaume pia wamedhulimiwa haki ya kuishi na mtoto au watoto pamoja na mwanamke.
Kuna babu mmoja mwanae akitaka kumjengea nyumba anakataa anasema mpaka ijengwe na mwanae mkubwa wa kike na kimila ikawa haiwezekani, basi wakamuacha hivyohivyo na jumba lake la nyasi na tope.
Hii nimeiona pia katika upande wa Mama ujombani .
Babu yangu ulikuwa ukienda kumtembelea unamkuta anaishi maisha magumu Sana.
Na uwezo wa kumsapoti walikuwa nao huwa sielewi baadhi ya familia zina nini.
Mimi mzee wangu siwezi kukubali afike hiyo hatua achilia Mbali kukaa Nyumba Kama hiyo.
Itakuwa aina maana ya sisi kufanya Kazi.
Ni Laana hizo.
Ukisikia Laana ndio hizo Sasa
Ni kweli hakunitelekeza kabisa Ila sasa mbona hata kaka zangu na wao walilelewa vizuri tu tena wao walilelewa na Mzee enzi ambazo Mzee alikuwa na nguvu lakini hawajamsaidia.Wewe mzee wako hakukutelekeza ndiyo maana ulikuwa na roho hiyo(hukumuona ujana wake alikuwaje)
Laana ya aina gani na inaitwaje ?
Maana I remember Bibi yangu mzaa Baba mpaka anakufa alikuwa akiisafiri dunia na kula bata kwa pesa. Za watoto wake. Ila kwa upande wa Mama ujombani wazazi wao wanakula msoto mkali Sana , kitu ambacho huwa nikifirikia naona something is wrong.
Mtu kutonsapoti mzazi inafikirisha.
So what the kind of curse?
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 I learn barikiwaMoja ya dalili ya kuwa mtu analaana ni kushindwa kusapoti au Kusaidia watu wake, wa nyumbani kwake yaani Wazazi, watoto wakati anauwezo wa kufanya hivyo.
Laana zipo za aina nyingi.
Kuna Laana za umri, yaani watu Kufa kabla ya kuzeeka. Na zina Sababu.
Kuna Laana za mahusiano ya Familia. Yaani mtu kuoa au Kuolewa lakini kuachwa au kuacha. Ndoa kutokuwa na Amani. Hizo ni Laana zote.
Mtu kuwa na hasira za Baba au mama yake, au watoto kuwa na hasira na wewe mzazi. Hizo ni Laana.
Unaweza ukafanikiwa kuwa tajiri lakini Moja Kwa Moja ukajiona unalaana maana maisha yako unayaona hayana furaha. Mtu wa kuhangaika, kutangatanga, kugombana gombana na ndugu, jamaa na marafiki
Hizo ni Laana zote
Huwezi kuwa na furaha wakati mzazi wako aliyekuzaa, watoto wako uliowazaa, au ndugu zako wanahitaji msaada wako alafu wewe kwa makusudi huwapi huo msaada. Hiyo ni Laana.
Kuishi mbali na nyumbani sio tatizo. But make sure nyumbani panaelewekaMifumo ya dunia kila mtu ni mbinafsi ,mtu akipata kazi anataka kuishi mbali na kwao roho ya ubinafsi inamshika .Siku kadhaa mbele akishaoa ndio basi kabisa hana time na sehemu nyingine
Amina dada mzima wewe😋😋Nzuri! Bwana Yesu asifiwe
🙏🏽🙏🏽🙏🏽 I learn barikiwa
hizo ni internal family issues, we cant help, kwa sababu hatuna detailed history ya hiyo family, tunaanzia wapi?Huyu mzee Ana miaka 92 na ana watoto wameajiriwa huko serikalini Ila anauza samaki na kulalia mkeka
This is bullshit.
View attachment 3237690
Hao watoto live live bila kumung’unya maneno wana laana siyo bure.Kuna mzee miaka kama 80 hapa jirani anauza samaki Deepsea yaani hata nyuma ni chakavu imepigwa bati upande mmoja ,hamna sakafu wala nn ...Ana watoto wakubwa ,mmojq ni muhasibu kaajiriwa huko Mbeya hajawahi kurudi na mwingine yuko Tanga ana nyumba kama tatu ; mbili kapangisha ...Ila mzee ni jihad anapamba mwenyewe .