Hivi unaweza ukafall in love na mtu ambaye hujawahi kumwona?

Hivi unaweza ukafall in love na mtu ambaye hujawahi kumwona?

Upeo wa binadamu unamruhusu kufikiria na kupenda vitu vingi sana sishangai watu wakipendana kwa kuongea tuu kupitia mtandao bila ya kuona picha. Hebu fikiria kunawatu dunia hii wanawake wanalala na vinguruwe kitanda kimoja wee, miye hata mbwa na paka ndani ya nyumba tuu tunazipanga kwa wengine starehe...
 
It happened to me once, i was so head over heels in love
 
Mtoboa siri kweli hayse,kuna posts zingine za watu na maneno yanagusa hisia sana

Shosti siwezi kukuelewa vibaya my dia,mi nimekuelewa hivi,kwamba hisia ni kama wazimu,kwa hiyo inatokea kweli kufall,sijui kama nimetafsiri vibaya maana yako
 
Inawezekana,kuna binti amewahi kunambia ananipenda na amefall kwangu coz ya sauti yangu(alipiga simu ofcn kwetu alikuwa na shida) akaomba namba ya simu na tunawasiliana mpk leo ila nilimwambia sihitaji mapenzi
 
inawezekana,kuna binti amewahi kunambia ananipenda na amefall kwangu coz ya sauti yangu(alipiga simu ofcn kwetu alikuwa na shida) akaomba namba ya simu na tunawasiliana mpk leo ila nilimwambia sihitaji mapenzi

hebu ni pm namba yake...
 
Excellent:
Talk about the power of written words eh!..........................Anyhow I can easliy see how one can like and develop some sense of attraction, for another without having seen them but falling in love??? I think not!
 
hebu ni pm namba yake...

The Boss imeshanitokea pia,mpaka mnaitana baby,my love,honey,but sijui why sometimes love kama zile zinapotelea hewani
 
Talk about the power of written words eh!..........................Anyhow I can easliy see how one can like and develop some sense of attraction, for another without having seen them but falling in love??? I think not!
Nemo people sex online,unakuta on skype,or site for chatting,mpaka mnajikuta mmefall mazima
 
Back
Top Bottom