Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo lengo la huu uzi ulikua unatuweka sawa tujue kuwa ivi karibuniWanataka tu kupiga pesa. Kama wanataka mtu utoe mahari basi sheria zote za kitamaduni za mahari zifuatwe. Zamani ukitoa mahari, na ikatokea mkeo amekufa basi wakwe zako wanakurudishia pesa au wanakupa mke mwingine. Kama alikuzalia watoto au hakukuzalia, kunahesabu zake. Watoto wa kiume na wa kike, kuna hesabu zake. Mkiachana kuna hesabu zake. Unakuta kamtu kamekomaa blankenti la babu, sijui ny*ko ya shangazi, kanajidai kanajua mila na desturi. Ukikaleta huku kanaanza habari za haki na nini nini? Tunahitaji kampeni ya kugoma kutoa mahari🙂.
Uchawi ni stori tu za kutisha watu.Utakuja kurogwa wewe...!!! hii ni Afrika mkuu.
Endelea kuamini hivyo [emoji16]Uchawi ni stori tu za kutisha watu.
Uzuri waislamu binti anaweza taja kuwa anataka hata hata buku ten.Kwenye ndoa ya kiislamu ili umuowe binti lazima utoe mahari hata ikiwa ni kiasi kidogo kama kianzio na deni lilobaki utalipa kwa kadri mtakavyokubaliana maana mahari ni haki ya mke na uwa haichukuliwi na mwingine yeyote na usipotoa hakuna ndoa(kwa sheria ya kiislamu).
Ni uamuzi wake kwa sababu yeye ndiye anaolewa, Nashangaa nikisikia mahari inadaiwa na mtu mwingine na anayekwenda kuangaika nao ni mtu mwingine! Mtu anayetaka mahari itabidi yeye ndio aolewe.Uzuri waislamu binti anaweza taja kuwa anataka hata hata buku ten.
😂😂😂Kama mwanamke sio bikra hakuna haja ya kutoa mahari
Kabisa. Anayetajataja mahari na kuichukua ndiye aolewe.Ni uamuzi wake kwa sababu yeye ndiye anaolewa, Nashangaa nikisikia mahari inadaiwa na mtu mwingine na anayekwenda kuangaika nao ni mtu mwingine! Mtu anayetaka mahari itabidi yeye ndio aolewe.