Hivi unaweza ukaoa halafu ukagoma kutoa mahari?

Kama mwanamke sio bikra usilipe mahari , hata wakikutoa damu usilipe mahari kabisa...kumlipia mahari mwanamke asie bikra ni kukosa akili
 
Kwaiyo lengo la huu uzi ulikua unatuweka sawa tujue kuwa ivi karibuni
Unakuja na campaign ya kukaa taa kutoa mahali
Mi nadhani tuongeze kasi kwenye ile campaign ya KATAA NDOA
Then wakituelewa ndo tunahamia huku [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye ndoa ya kiislamu ili umuowe binti lazima utoe mahari hata ikiwa ni kiasi kidogo kama kianzio na deni lilobaki utalipa kwa kadri mtakavyokubaliana maana mahari ni haki ya mke na uwa haichukuliwi na mwingine yeyote na usipotoa hakuna ndoa(kwa sheria ya kiislamu).
 
Mahari si lazima Bali makubariano ya pande mbili means wazazi kwa kuwa shirikisha vijana wao kima andiko mahari haija zungumziwa Bali ni zawadi, Mkuu
 
Uzuri waislamu binti anaweza taja kuwa anataka hata hata buku ten.
 
Ni uamuzi wake kwa sababu yeye ndiye anaolewa, Nashangaa nikisikia mahari inadaiwa na mtu mwingine na anayekwenda kuangaika nao ni mtu mwingine! Mtu anayetaka mahari itabidi yeye ndio aolewe.
Kabisa. Anayetajataja mahari na kuichukua ndiye aolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…