Hivi unawezaje kushabikia hii Simba Mbovu?

Hivi unawezaje kushabikia hii Simba Mbovu?

Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Hakuna timu yenye.misimu mizuri endelevu , kama shabiki inabidi uvumilivu, poleni Makolo asie kubali kushindwa sio mshindani naamini next season mtatuketea ushindani mkubwa
 
Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Pombe mbaya sana, ila kumbuka kama haupo nyumbani basi hii ni mida ya ajali kwa wanywaji ni afadhali ulale hapohapo bar.
 
Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Waache watu na mahaba yao mkuu.
Hata Yanga tuliteseka sana, tunateseka kwa zamu na ndio raha ya ushindani
 
Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Kwa hiyo kutokuchukua makomne tafsiri yake ni timu mbovu?! Wenye akili huko wawili tu...
 
Waache watu na mahaba yao mkuu.
Hata Yanga tuliteseka sana, tunaseseka kwa zamu
Najishangaa niliwezaje any makombe ya sasa yanampunga mwingi, yale yalikuwa ya Binanza
 
Basi wewe utakuwa ni shabiki mandazi. Yanga kakaa miaka 4 bila kombe lolote . Je, uliishije?

Kumbe we ndiyo unafanya ile kauli ya Manara kwamba wenye akili Yanga ni wawili tu itimie.
 
28b068b5-44d7-4c14-8c38-d1237765aace.jpg
 
Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Aina hii ya mashabiki wameongezeka sana.
Hawa ni vile visichana vinavyokwenda kwa mwanaume kwa upepo wa pesa ana umaarufu.Visichana hivi huwa vinajua vinastahili kuishi vizuri tu na shida zinawahusu wengine
 
Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote.

Mimi nisinge weza aisa
Utopolo walisuburi miaka 4 wakiishi maisha ya taabu, wewe unasema miaka 2 usingevumilia. Dunia imaenda kasi!

Vv
 
Back
Top Bottom