Hivi unawezaje kuwa na majina 4 (Manne)?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Hivi mtu mmoja anawezaje kuwa na majina manne?

Yanakaaje kwenye Nyaraka za kisheria (Legal Documents) ambazo Mara nyingi huwa na nafasi tatu?!!, yaani Jina la kwanza, la Pili/kati na la Mwisho/Ukoo!!?

Na, je ilikuwakuwaje na inakuwakuwaje mtu awe na majina 4 (manne)?

Nani wa Kumhakiki Mhakiki?

Nauliza tu!

Cc: JPJM.
 
Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?
 
Mimi nina majina manne, mahali pakiwa pana nafasi 3. ..basi najaza matatu .pakiwa na 2 naweka mbili. ..ikawa moja. ..hivyo hivyo. ..ikifikia nne haya tena. .. have a blessed Sunday my brother
 
Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?
Na hatimae inakuwa:
Last/Surname: Malecela
Middle Name: Cigwiyemis Samwel
First Name: John
Appearance: Malecela, John Cigwiyemis Samwel OR Malecela, JCS!!
 
Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?
Jibu maswali, nimeliona na nimem cc JPJM kwa sababu ni raia namba moja anayesimamia zoezi la Uhakiki watumishi wa umma.
 
Ukiulizwa swali unatoa jibu. Sio kuuliza swali tena. Ndio maana wengi hushindwa mitihani wa namna hii.
Naona akili yako imeshikwa na wamagharibi wanaolazimisha majina matatu! Mimi nina majina matano na kwa hiyari yangu mwenyewe nu=ikadrop moja hivyo nina majina manne na ndugu zangu wote tuliozaliwa pamoja wana majina manne!
 
Unaitwa nani?
 
Back
Top Bottom