tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?Hivi mtu mmoja anawezaje kuwa na majina manne?
Yanakaaje kwenye Nyaraka za kisheria (Legal Documents) ambazo Mara nyingi huwa na nafasi tatu?!!, yaani Jina la kwanza, la Pili/kati na la Mwisho/Ukoo!!?
Na, je ilikuwakuwaje na inakuwakuwaje mtu awe na majina 4 (manne)?
Nani wa Kumhakiki Mhakiki?
Nauliza tu!
Cc: JPJM.
Na hatimae inakuwa:Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?
Jibu maswali, nimeliona na nimem cc JPJM kwa sababu ni raia namba moja anayesimamia zoezi la Uhakiki watumishi wa umma.Sheria ipi inasema uwe na majina matatu? John Cigwiyemis Samwel Malecela, Mizengo Peter Kayanza Pinda, nk. Leo ndio unaona la JPJM?
Ukiulizwa swali unatoa jibu. Sio kuuliza swali tena. Ndio maana wengi hushindwa mitihani wa namna hii.Hapa ndo mwisho wako wa kufikiri?
Naona akili yako imeshikwa na wamagharibi wanaolazimisha majina matatu! Mimi nina majina matano na kwa hiyari yangu mwenyewe nu=ikadrop moja hivyo nina majina manne na ndugu zangu wote tuliozaliwa pamoja wana majina manne!Ukiulizwa swali unatoa jibu. Sio kuuliza swali tena. Ndio maana wengi hushindwa mitihani wa namna hii.
Unaitwa nani?Naona akili yako imeshikwa na wamagharibi wanaolazimisha majina matatu! Mimi nina majina matano na kwa hiyari yangu mwenyewe nu=ikadrop moja hivyo nina majina manne na ndugu zangu wote tuliozaliwa pamoja wana majina manne!