Nina sheria moja,
Rafiki nipo nae kuanzia January mpaka December hatujawahi kupeana michongo yoyote, yeye ni bata tu, ratiba zote za kumbi za starehe anazijua kwa kweli lazima nimkatae tu,
Kua na marafiki kutoka kada mbalimbali hata ukihitaji msaada fulani wanakuwepo,
Ni rahisi sana kutumia watu wako wa karibu katika kuendesha maisha yako.