Hivi unawezaje kuwatumia marafiki waliokuzunguka katika kuyatafuta maisha ya mafanikio

Hivi unawezaje kuwatumia marafiki waliokuzunguka katika kuyatafuta maisha ya mafanikio

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Waswahili husema kwenye mengi kuna mengi hili ni moja jambo ambalo linazungumziwa redio moja ni jinsi gani unaweza kuwatumia marafiki na watu waliokuzunguka katika kuyatafuta maisha ya mafanikio""

""Hebu tuanzia hapaa kwanza kila mtu aseme ni jinsi gani unaweza kuwatumia marafiki waliokuzunguka katika kuyatafuta maisha ya mafanikiooo""".
 
Unawafanya resources..
Kama una biashara unawazungushia humo humo majumbani kwao.. wanakua badala ya kwenda kununua kwa wengine wanakuja kwao ndugu na rafiki yao. Shida kuna makabila hawawezi kubali..Eti uwe na biashara wanunue kwako bora watembee umbali mrefu kufuata vitu..

Eg Waha
 
Inategemea na aina ya marafiki. Kama ni hustlers hauwezi kukaa kidhembe maana watakuumiza kichwa tu au kukupa info za kukuinua ila kama ndo wale ambao hawaoni mbali na wewe utakaa comfortable kama wao. Hii ni automatic yaani
 
Nina sheria moja,
Rafiki nipo nae kuanzia January mpaka December hatujawahi kupeana michongo yoyote, yeye ni bata tu, ratiba zote za kumbi za starehe anazijua kwa kweli lazima nimkatae tu,

Kua na marafiki kutoka kada mbalimbali hata ukihitaji msaada fulani wanakuwepo,
Ni rahisi sana kutumia watu wako wa karibu katika kuendesha maisha yako.
 
Marafiki wazuri ni wale ambao wana connection mtakaa mtapeana michongo ya kazi na biashara
 
Aina ya marafiki ulionao itakupa jibu sahihi la swali lako. Ila pia ni vizuri kuweka juhudi binafsi zaidi kabla ya kufkiria mtu flani atanisaidiaje, itakusaidia kusonga mbele hata hao marafiki wasipokua na msaada kwenye jambo lako
 
Back
Top Bottom