Hivi Uongozi wa Simba SC mngekuwa Karibu na Timu (hasa Wachezaji) kama mlivyo sasa Kuelekea Mechi ya Yanga SC tungefanya Vibaya CAF na CRDB Cup?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Jana Viongozi wote wa Simba SC mlionekana Bunju Arena mkiwa na Sura za Upendo kwa Wachezaji huku kila Kiongozo aliyekuwepo katika Msafara ule akienda kwa kila Mchezaji na Kuwaonyesha Upendo na nimeona wengine hadi mkawa mnawatumia (mnawapa Hela) kutoka katika Simu zenu na Wachezaji baadhi Kutabsamu.

Mlikuwa wapi Siku zote? Msiufanye Mazozola (Wajinga) na Mapopoma (Wapumbavu ) sawa? Tunajua Wachezaji Morale yao imeshuaka kabisa kwakuwa wanadai Posho zao nyingi tu. Sasa ngojeni tufungwe na Yanga SC Weekend hii nitarui Tanzania Kuwapigeni kisha naejea zangu Kampala Uganda kuendelea na yaliyonileta huku.

Mnakera sana nyie....!!!
 
Tunawaambia kila siku matatizo makuu ya simba ni matatu la nne ni wanachama wapumbavu na wajinga.

1. Uwekezaji.

2. Uongozi.

3.wachezaji.

Tukiwaambia hivi vitu huwa hamuelewi.
 
Tunawaambia kila siku matatizo makuu ya simba ni matatu la nne ni wanachama wapumbavu na wajinga.

1. Uwekezaji.

2. Uongozi.

3.wachezaji.

Tukiwaambia hivi vitu huwa hamuelewi.
Hao Wanachama Wapumbavu na Wajinga wana huo huo Ujinga na Upumbavu alionao yule Juha aliyekuleta Duniani.
 
Hao Wanachama Wapumbavu na Wajinga wana huo huo Ujinga na Upumbavu alionao yule Juha aliyekuleta Duniani.

Unahisi nitakujibu matusi.

Mimi nina kifua kipana mzee tukana uwezavyo hapa ni mwisho.

Tukana utakavyo, wewe si level yangu kabisa.
Level yako ni akina Tukana uone na sio mimi.

bytheway unapaka rangi upepo.

HUJAJUA KAMA NIMELETWA NA MUNGU DUNIANI.
UNAMTUKANA MUNGU!!!!!!
 
Pumbavu.
 
Nasema tena na tena, Pacome akianza ktk hii game, Simba hatopigwa chini ya 3.
 
Mashabiki wa Simba twendeni uwanjani tukiwa na bakora!!!!!
 
Genta nawe umekuwa Mungu???....usituletee ya harmonize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…