Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa
Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi?
Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo mmoja wa kusambaza nishati kama ya umeme ni hatari kiusalama
Fikria sasa hivi karibia mikoa yote ipo gizan je adui akiamua kuanza kutekeleza uharifu tunaponaje hapa?
Labda waungwana mnifumbue macho kuhusu faida za kuwa na mfumo wa grid ya taifa ya umeme na hata maji