Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Sielewi ndo maana nikaomba kufundishwaKwanza unaelewa maana ya neno Gridi?
Sasa kama huelewi kwanini unalamikia mfumo wa umeme?Sielewi ndo maana nikaomba kufundishwa
Unaelewa ulichouliza au umekurupuka tuSasa kama huelewi kwanini unalamikia mfumo wa umeme?
Hakuna umuhimu ilitakiwa kila kanda iwe na chanzo chake cha umeme ,haya Ndio Yale ya katiba yaani rais anateua hadi mkuu wa nguchiro
Mwenye uelewa atufafanulie zaidi kuhusu Grid!!Unaelewa ulichouliza au umekurupuka tu
Sasa Tanzania ina maadui gani zaidi ya hawa wapumbavu wa CCM?
Umuhimu wake ni kuwatambia na kuwaringishia wakinzani wetu kisiasa na nchi majirani wenye harufu ya uzabizabina.Si hivyo tu.Tunatumia kudandanyia wapiga "kula" wetu ili wazuzuke nao.Hakika,tunao na tunatamba nao!Nimekuwa nikisikiliza wabunge wakiomba mikoa yao kuunganishwa na umeme wa Gridi ya Taifa
Je hiki kitu kina manufaa gan kwa nchi?
Maana kwa mtazamo wangu naona kama nchi nzima kuwa na mfumo mmoja wa kusambaza nishati kama ya umeme ni hatari kiusalama
Fikria sasa hivi karibia mikoa yote ipo gizan je adui akiamua kuanza kutekeleza uharifu tunaponaje hapa?
Labda waungwana mnifumbue macho kuhusu faida za kuwa na mfumo wa grid ya taifa ya umeme na hata maji