Kyenyabasa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2023
- 247
- 715
Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji kila anaehitaji huduma aifate mahali rasmi.
Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya kwanza nilishikwa na kinyaa kula chips maana maeneo machafu na makeleleya pikipik, kwakweli.
Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya kwanza nilishikwa na kinyaa kula chips maana maeneo machafu na makeleleya pikipik, kwakweli.