Hivi ushawahi kufikiria hiki kitu?

Hivi ushawahi kufikiria hiki kitu?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
394
Reaction score
720
Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]

Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla[emoji3][emoji3][emoji3] afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje [emoji3][emoji3]
 
Kuna haja ya kucheki kama marbles zako hapo upstairs ziko sawa. Mwishowe utaanza kuwaza kama magari na ndege zitaanza kunywa pombe au kuvuta bangi itakuwaje. Si kila fikra ni fikra nyingine ni uchizi mwanangu.
 
Si bora nati mkuu

Umeifungua mashine uisafishe halafu unatoka mara ka dogo kanatoka nayo baada ya kusikia vile vipaza sauti vya wanunuaji wa vyuma chakavu kwenye baiskeli vikisema

Mambele jojooooo, mambeleeee jooo dogooo huyooooo na mashine anaenda kubadilishana na jojo golori
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila Mama ajitahidi aajiri aisee, bila hivyo hali itakuwa mbaya sana kwa vijana
 
Back
Top Bottom