Kuna haja ya kucheki kama marbles zako hapo upstairs ziko sawa. Mwishowe utaanza kuwaza kama magari na ndege zitaanza kunywa pombe au kuvuta bangi itakuwaje. Si kila fikra ni fikra nyingine ni uchizi mwanangu.Embu fikiria kama viungo vyetu mwilini vingekuwa vinafungwa kwa nati au screw[emoji3]
Sasa siku moja ukaenda kuoga tena ukafungua na machine(kirungu) ili uisafishe vizuri afu mara paah nati inakuponyoka inaingia kwenye sink nakupotelea huko jumla[emoji3][emoji3][emoji3] afu uambiwe kuwa nati hazina spare dah hivi utafanyaje [emoji3][emoji3]
Hizi ID feki zinaficha mengi. Usikute mleta mada ni Ndugai.
[emoji3][emoji3][emoji3]Si bora nati mkuu
Umeifungua mashine uisafishe halafu unatoka mara ka dogo kanatoka nayo baada ya kusikia vile vipaza sauti vya wanunuaji wa vyuma chakavu kwenye baiskeli vikisema
Mambele jojooooo, mambeleeee jooo dogooo huyooooo na mashine anaenda kubadilishana na jojo golori
hahahaaaHizi ID feki zinaficha mengi. Usikute mleta mada ni Ndugai.
hahahaHizi ID feki zinaficha mengi. Usikute mleta mada ni Ndugai.
Ndugai atapata wapi akili kubwa na uwezo wa kuwaza haya?Hizi ID feki zinaficha mengi. Usikute mleta mada ni Ndugai.
π π πHizi ID feki zinaficha mengi. Usikute mleta mada ni Ndugai.