Hivi Ushawahi kuisikia hii Speech ya Idi Amin kwa Malkia wa Uingereza

samahani waungwana wengine hatujui english naomba mtafsiri hizo speech za nduli idi amin
 
ni utani tu,japo hakuwa vizuri kwenye English lakini haiwezekani afanye hizo grammatical errors, Amin alikuwa na akili !!!
Hakua na akili, alijibandika vyeo tu, alikuwa na roho mbaya ever
 
Hakua na akili, alijibandika vyeo tu, alikuwa na roho mbaya ever
alikuwa mtu mwema sana if you knew him personally, alicheka na watu na alipenda utani,Idd Amini alikuwa na roho nzuri mno, watu waliomfanyia mabaya aliwalipa mabaya
huwezi kuwalipa mema watu wanaopanga kukuuua,kuna ndugu yake alikuwa afisa mkubwa wa jeshi alimtumia watu wamuue,Idd amin naye akatuma watu wakazunguka nyumba ya jamaa alafu akampigia simu jamaa na kumuuliza kwanini ametaka kumuua,akamtaka jamaa ajisalimishe ila akaamua kujipiga risasi mwenyewe
 
Mkuu umeangalia zako movie ya eid amin ukajua ndo alivyo na Ile nyimbo ya kizalendo unadhan ndo uhalisia wake? Ebu fuatilia idd amin alkua mfia nchi yake na mzalendo wa kwel

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Wafuata mkumbo hao na wafuasi wa mchonga meno wa butiama hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…