Hivi ushawahi kumuona mzungu chizi?

Hivi ushawahi kumuona mzungu chizi?

Hizi ni akili za waafrika wengi kuwaona wazungu si binadamu wa kawaida na baadae kujiona mnabaguliwa kumbe ni akili zenu nyeusi tu
 
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?

Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.


Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ndio, mpaka tahira. Mbilikimo pia wapo ingawaje sio ugonjwa wa akili.
 
Swali limekaa kiajabu sana
Chizi aletwe huko Tz kama maonyesho ama
Kama ni huku kwao wapo wengi tu na kwa sasa ndio wameongezeka kwa kufungiwa ndani lockdown
Wanajiuwa sana na wengi wengine wakifanya fujo wanadungwa sindano na kuwa mazezeta
Binadamu wote ni sawa unayoyaona huko na huku yapo
Kama ombaomba wapo pia
 
Back
Top Bottom