Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Wadau wa JF,
Mchana wengi wenu mnakuwaga very active online ila usiku mnakuwa doro. Ni kwamba ikifika usiku mnakosa access ya internet au mnakuwa bize na shughuli zingine za kjamii?
Kama mnajifanya mko bizi hivyo, mbona malalamiko kwenye ndoa na mahusiano hayaishi? Au ndio mko bize kupaka rangi upepo? Embu kila mmoja aje hapa ashee uzoefu anatumia vipi mda wake wa kuanzia saa nne usiku.