Hivi usiku huwa mnajishughulisha na nini? Napata Likes na comments nyingi sana mchana

Hivi usiku huwa mnajishughulisha na nini? Napata Likes na comments nyingi sana mchana

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Wadau wa JF,

Mchana wengi wenu mnakuwaga very active online ila usiku mnakuwa doro. Ni kwamba ikifika usiku mnakosa access ya internet au mnakuwa bize na shughuli zingine za kjamii?

Kama mnajifanya mko bizi hivyo, mbona malalamiko kwenye ndoa na mahusiano hayaishi? Au ndio mko bize kupaka rangi upepo? Embu kila mmoja aje hapa ashee uzoefu anatumia vipi mda wake wa kuanzia saa nne usiku.
 
Ni mda muafaka wa kulinda ndoa yangu.
Naamini wengi pia wanajukumika mda huu.
 
Muda huo Watanganyika wanakuwa wapo viwanda vya kuzalisha Watanzania wapya...kwa ajili ya taifa la kesho....
 
Huwa tunakunywa biyaa........na kumbuka kuwa biyaa na maandishi haviendani......
Chiaziiiii.......
 
Back
Top Bottom