Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Dah ... kweli?Tunatumikia vitanda muda huo
Tunatumikia vitanda muda huo
ndo mnavyo pendaNi mda muafaka wa kulinda ndoa yangu.
Naamini wengi pia wanajukumika mda huu.
Valentina mambo vipi mpendwa wanguTunatumikia vitanda muda huo
Salama mpendwa,tunafaidi mvua kwa sana. Huko vipi?Valentina mambo vipi mpendwa wangu
Ooh yea!Dah ... kweli?
Ndio starehe yenyewe hiyondo mnavyo penda
Dah.. hongera [emoji15]Ooh yea!
Kweli mkuu...lazima vitendea kazi vipumzike kwa ajili ya matumizi ya baadae....Kupumzika baada ya mahangaiko ya mchana kutwa
Huo ni utekaji nyara nduguNikifika tu home bby wngu ananinyang'anya cmu zngu zote