Hivi utaanzaje!!

Hivi utaanzaje!!

Kwanza mwanaume unaanzaje kwenda kulala nyumbani kwa mwanamke wakati sio mke au mchumba wako mambo mengine ni kujidharilisha
 
Mbele ya ile kitu, akili huwa inakuja baadae sana, unaanza kujiuliza nimefanya nn, sitarudia tena.
 
Acha zako wewe

Gheto unaenda unaliwa na mashuka unafua
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom