Hivi utajiri mgumu kiasi hiki, mbona naishi kama sufuria

Si uwatumie GSM wale wenye silent ocean sindio wanajiita simba wa bahari? 🤣
 
Niliagiza mzigo 1 mmoja nikaambia siku 30 ntapokea ulipiga two months nilitoka nje ya mpangilio kazi.

Nilichokuja gundua mzigo unavyofika tuu bongo press order nyingine. So ujue trend ya mauzo yako ndani ya siku 60
 
Kuna mzigo nilikua nautegemea ndani ya 15 days lakini sasa yapata siku 29 bado sijaupata

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Na ukiwakuta wanatafuta wateja bla bla kibao, utawasikia mizigo inatoka mara mbili kwa wiki au kila wiki mara moja, sasa jiroge uwe na mzigo wa haraka.

Agiza ila usitarajie sana kupata ndani ya siku walizo ku bla bla japo kuna muda(mara chache) huwa inatokea unapata ndani ya Muda.
 
Biashara maden yaan matatizo hayaish maskin tunakaz ngumu sana
Jikaze mkuu. Pole sana. Ila fahamu ulimwengu wa biashara ndivyo ulivyo. Najua unaumia na haya mapambano ila usikate tamaa wala kuachia hapo ulipo.

Ila nikushauri mambo kadhaa kwenye ulimwengu wa biashara unatakiwa kuwa hatua tano mbele ya wengine ambao mpo eneo la biashara.

Unatakiwa kuwa na fikra chanya juu ya mabadiliko ya mazingira yako ya biashara. Mabadiliko hayo yanapokuja kuwa nyuma hatua tano wakati wenzako wapo hatua tano mbele yako ndipo matokeo yake unaona kama surprise ya disaster kumbe ulifeli kuwa na maono.

Umetia mzigo dukani wateja wanakuja anza kutafiti mapema nini ubadilishe ili kuvutia wateja upya. Kumbuka unachouza wenzako wanauza pia so uzembe kidogo wateja watahama kwa kasi kubwa na ndipo hapo sasa unapigwa na radi ya madeni, hasara, na kudodewa na mzigo.

Kingine naomba nikukumbushe sana kuhusu huo mwili wako. Fanya yote ila usiutese huo mwili aliokupa MUNGU bure.

Hakikisha unapata muda wa kuupumzisha ili uimarike na kurudishia nguvu, hakikisha unaulisha vizuri kwa maana ya vyakula vya kuimarisha seli za mwili kufanya kazi kwa ufanisi especially maeneo ya ubongo.

Kula vyakula vya kufanya akili iwe imara sio unapigwa na dhoruba unaanza kunywa Kvant hapo unauadhibu mwili kwa kosa gani sasa?!

Kula vizuri, pumzika, vaa nadhifu huo mwili utakureward kwa vingi zaidi. Kumbuka afya yako ikitetereka magonjwa kama presha, kisukari, matatizo ya akili, na kadhalika vitakuandama na hautaweza mudu hiyo biashara.

Zingatia haya niliyokwambia.
 
Busara
 
Wise words

Back
Top Bottom