Hivi utapeli wa namna hii huwa inakuwaje?

Habari zenu wanaJF

Naomba msaada hapa.

Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa.

Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa lakini kwa jinsi anavoelezea na kama huu utapeli una uchawi ndani yake.

Yani kuna binti mdogo kwa maelezo yake ni kama wa miaka 18-22.
Anadai kwamba huyo binti alifika pale ofisini akamsalimia yule mtoa huduma na baada ya hapo akamuomba pesa, yule mhudumu akamuliza shingap tapeli akajibu laki tano yule binti bila kupinga na kiulaini kazama kwenye droo katoa pesa tapeli kapokea akaamsha.

Baada ya muda kidogo ndo mhudumu akapata fahamu akagundua kuwa katapeliwa.
Maelezo hayaoneshi Utapeli. Aliombwa pesa akatoa. We ukiombwq pesa ni Utapeli?
 
Habari zenu wanaJF

Naomba msaada hapa.

Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa.

Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa lakini kwa jinsi anavoelezea na kama huu utapeli una uchawi ndani yake.

Yani kuna binti mdogo kwa maelezo yake ni kama wa miaka 18-22.
Anadai kwamba huyo binti alifika pale ofisini akamsalimia yule mtoa huduma na baada ya hapo akamuomba pesa, yule mhudumu akamuliza shingap tapeli akajibu laki tano yule binti bila kupinga na kiulaini kazama kwenye droo katoa pesa tapeli kapokea akaamsha.

Baada ya muda kidogo ndo mhudumu akapata fahamu akagundua kuwa katapeliwa.
Amemuajili = amemuajiri.
 
WaTZ mnaamini kila kitu uchawi. Kuna dawa inahusika inaitwa Scopolamine aka devil's breath. Inaadhiri sehemu moja ya ubongo ila unabaki conscious kupokea amri na kutekeleza. Unaweza ukaambatana na mtu hadi atm machine, ukaweka pin, ukatoa hela na kumpa huyo aliyekupulizia. Huku Nairobi inatumika sana na matapeli. Mtaenda naye hadi nyumbani kwako, umsaidie kupaki vitu vyote aondoke navyo. Senses zako zitarudi baada ya masaa kadhaa. Tafuta Scopolamine kwenye Google
So unapulizia au?
 
Habari zenu wanaJF

Naomba msaada hapa.

Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa.

Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa lakini kwa jinsi anavoelezea na kama huu utapeli una uchawi ndani yake.

Yani kuna binti mdogo kwa maelezo yake ni kama wa miaka 18-22.
Anadai kwamba huyo binti alifika pale ofisini akamsalimia yule mtoa huduma na baada ya hapo akamuomba pesa, yule mhudumu akamuliza shingap tapeli akajibu laki tano yule binti bila kupinga na kiulaini kazama kwenye droo katoa pesa tapeli kapokea akaamsha.

Baada ya muda kidogo ndo mhudumu akapata fahamu akagundua kuwa katapeliwa.
Wamejaribu kumuuliza Mwamposa?
 
Back
Top Bottom